Tag Archives: #weweniwathamani

by in THAMANI

NI WEWE ULIYEKATA TAMAA?

Habari ya wakati huu rafiki. Karibu tena katika mtandao huu, uendelee kuchota maarifa na kujifunza mambo muhimu yatakayokupa mwanga na kusaidia katika kuongeza THAMANI zaidi katika maisha yako. Katika makala ya leo, nataka kuzungumza na wewe kijana mwenzangu uliyekata tamaa. Kijana unayehisi hauna THAMANI tena ya kusonga mbele, unahisi hauna nafasi tena ya kubadili maisha […]

by in MAISHA NA MALENGO

MSAADA WAKO UPO WAPI?

Dunia imekuwa na mambo mengi ya kutisha pamoja na watu ambao wakati mwingine unaweza kuogopa kuwategemea hasa pale unapopata changamoto katika maisha. Imekuwa ni sehemu ambayo, kila mtu anajenga ukuta (Kujitenga peke yake) ili kuepuka kusalitiwa na kuumizwa katika namna yoyote ile. Asilimia kubwa ya watu wamekuwa ‘wagumu’ kusaidiana kutokana na historia ya kuwahi kuumizwa […]

by in MTAZAMO BORA

UFANYE NINI UNAPOKOSEA KUFANYA MAAMUZI?

“Uimara na Ubora wa maisha yako unategemea sana aina ya maamuzi unayoyafanya na kuruhusu kuongozwa na maamuzi hayo.” ~Anselmo John~ Sasa ufanye nini pale unapokosea kufanya maamuzi? Katika makala ya leo tutajifunza baadhi ya mambo muhimu unayopaswa kufanya pale unapofanya makosa katika Maamuzi yako. Karibu sana……. KUBALIANA NA HISIA ZAKO. Jambo la kwanza, ni kutambua […]

by in MAISHA NA MALENGO

“JINSI YA KUEPUKA TABIA YA KUKWEPA MAJUKUMU YAKO.”

“Ishara mojawapo ya mtu anaependa kughairisha mambo ni kukwepa majukumu yake muhimu(Making excuses).” ~Anselmo John~ Ni mara ngapi umekuwa ukitafuta sababu za kukwepa majukumu yako? Ni mara ngapi umeacha kutimiza wajibu wako kwa sababu mbalimbali zisizo na maana katika maisha yako? Ni mara ngapi umejilaumu kwa kushindwa kutimiza malengo yako kwa sababu ulikwepa baadhi ya […]

by in MTAZAMO BORA

“WASIWASI NI SUMU KALI”

“Moja kati ya safari ngumu anayoweza kuipitia binadamu ni kukabiliana na Hofu yake mwenyewe na kuizuia isiendelee kutafuna maisha yake .” ~Anselmo John~ Kila mmoja ana aina yake ya wasiwasi, kitu ambacho ni cha kawaida katika maisha yetu; hivyo kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida lakini kadri unavyoiruhusu kutawala maisha yako, inaweza kugeuka na […]

by in MAHUSIANO

“USIACHE KUWA MWAMINIFU”

Ninaweza kusema, Uaminifu ni moja ya kiungo muhimu sana katika mahusiano ya mwanadamu, msingi mkubwa unaojenga kila taasisi bora na pengine ndio msingi wa kwanza wa mafanikio katika sekta mbalimbali za maisha yetu. Bahati mbaya ni kwamba, asilimia kubwa ya watu wanashindwa kujenga uaminifu kutokana na tamaa ya mambo yatakayowapa faida ya muda mfupi au […]

by in MTAZAMO BORA

IFAHAMU NGUVU YA KILA “NENO” KATIKA MAISHA YAKO.

Habari za wakati huu Rafiki na msomaji wa makala mbalimbali kupitia mtandao huu. Karibu tena tuendelee kujifunza pamoja. Katika makala ya leo tutaangalia nguvu iliyopo katika kila neno unalozungumza katika maisha yako. KARIBU SANA……… Asilimia kubwa ya vijana wanadharau nguvu iliyopo katika maneno wanayozungumza pasipo kufahamu kwamba, neno moja linaweza kujenga au kuharibu siku yako/mtu […]

by in MAISHA NA MALENGO

SIMAMA MWENYEWE!

Maisha ni sawa na uwanja wa Mapamabano, ili uweze kushinda mapambano haya, unahitaji kujiamini na kusimama mwenyewe kwa asilimia 90. Sasa, bahati mbaya zaidi ni kwa wale wanaokuwa tegemezi zaidi katika maisha yao, wakitegemea mtu/watu wengine wafanye maamuzi flani kwa ajili ya maisha yao, ni vigumu sana kuendana na kasi inayohitajika katika mapambano haya. Kiwango […]