Tag Archives: #success

by in MAISHA NA MALENGO

MSAADA WAKO UPO WAPI?

Dunia imekuwa na mambo mengi ya kutisha pamoja na watu ambao wakati mwingine unaweza kuogopa kuwategemea hasa pale unapopata changamoto katika maisha. Imekuwa ni sehemu ambayo, kila mtu anajenga ukuta (Kujitenga peke yake) ili kuepuka kusalitiwa na kuumizwa katika namna yoyote ile. Asilimia kubwa ya watu wamekuwa ‘wagumu’ kusaidiana kutokana na historia ya kuwahi kuumizwa […]

by in MTAZAMO BORA

“WASIWASI NI SUMU KALI”

“Moja kati ya safari ngumu anayoweza kuipitia binadamu ni kukabiliana na Hofu yake mwenyewe na kuizuia isiendelee kutafuna maisha yake .” ~Anselmo John~ Kila mmoja ana aina yake ya wasiwasi, kitu ambacho ni cha kawaida katika maisha yetu; hivyo kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida lakini kadri unavyoiruhusu kutawala maisha yako, inaweza kugeuka na […]

by in THAMANI

KWANINI FURAHA SIO SEHEMU YA MAISHA YAKO?

Wakati mwingine changamoto mbalimbali za maisha zinaweza kuyafanya maisha yetu kukosa furaha kabisa. Lakini, asilimia kubwa ya vyanzo vya kukosa furaha vinatokana na vile tunavyofikiri, tabia na mienendo yetu ya kila siku. Katika makala ya leo tutaangalia baadhi ya tabia zinazoweza kuchangia katika kuondoa au kuzuia Furaha katika maisha yako ya kila siku. Karibu Tujifunze […]

by in THAMANI

KWANINI UNARUHUSU HOFU ITAFUNE MAISHA YAKO?

Iwe ni kazini ukitimiza majukumu yako, nyumbani ukihudumia familia yako au mahala popote pale ulipo; Kuna wakati maisha yako yanaweza kukupa hofu au wasiwasi mkubwa kiasi cha kushindwa kusonga mbele. Swali ni Je, Utafanya nini pale unapokumbwa na hofu (Stress)? Karibu Ujifunze, Uelimike na Kuongeza zaidi THAMANI yako………………………………. NJIA BORA ZITAKAZOKUSAIDIA KUKABILIANA NA HOFU (STRESS) […]

by in MAISHA NA MALENGO

ULIMI WAKO UNA NGUVU YA KULETA UHAI AU KIFO!

Hello rafiki. Pole kwa majukumu ya siku.Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha tena katika mtandao huu ili uendelee kujifunza, kuelimika na kuongeza zaidi THAMANI yako. Siku ya leo tutajifunza kupitia story hii fupi. Karibu…………. Vyura watano walikuwa wanapita na kutembea porini kutafuta chakula. Ghafla wawili kati yao wanaanguka katika shimo refu lililokuwa limefunikwa na majani, hivyo […]

by in MAISHA NA MALENGO, THAMANI

FAIDA ZA KUKIRI & KUKUBALI MAKOSA YAKO.

“Siku zote makosa yanaweza kusamehewa endapo tu mtu atakiri/kukubali kwamba amekosea.” Kila mtu hufanya makosa. Asilimia kubwa ya vijana wengi huogopa/huona aibu kukubali makosa waliyoyafanya kwa kudhani kwamba, huenda wataonekana dhaifu au kukosa msimamo. Wakati mwingine ni vigumu sana kukiri/kukubali makosa yako pale unapokosea na kitendo hiki kinaweza kuhitaji ujasiri na hekima ya kubwa sana. […]

  • 1
  • 2