Tag Archives: #happy

by in MAISHA NA MALENGO

MAJUTO NI MJUKUU. BADILIKA SASA!

Majuto ni sehemu mojawapo ambayo binadamu anapitia katika maisha yake. Majuto hayo yanaweza kusaidia kusonga mbele au kurudi nyuma, na hii ni kutokana na nafasi au muda utakaoruhusu majuto hayo kukaa ndani ya moyo na akili yako. Katika makala ya leo tutaangalia mazingira matatu yanayoweza kuleta majuto katika maisha yako ya kila siku. Karibu Ujifunze, […]

by in MAISHA NA MALENGO

SENTENSI MOJA ITAKAYOBADILI MAISHA YAKO.

Ni sentensi moja tu inayoweza kukupa hamasa ya kusonga mbele, hamasa ya kupambana zaidi huku ukitambua kwamba “Hauna Muda” wa kutosha hapa duniani. Sentensi hiyo ni hii………………….. “Kuna siku utaondoka hapa duniani” Umezaliwa mara moja tu, hakuna wakati mwingine tena utakapozaliwa na kurudi upya duniani; na hii ndio fursa pekee ya kutengeneza Furaha katika maisha […]

by in MAISHA NA MALENGO, THAMANI

FAIDA ZA KUKIRI & KUKUBALI MAKOSA YAKO.

“Siku zote makosa yanaweza kusamehewa endapo tu mtu atakiri/kukubali kwamba amekosea.” Kila mtu hufanya makosa. Asilimia kubwa ya vijana wengi huogopa/huona aibu kukubali makosa waliyoyafanya kwa kudhani kwamba, huenda wataonekana dhaifu au kukosa msimamo. Wakati mwingine ni vigumu sana kukiri/kukubali makosa yako pale unapokosea na kitendo hiki kinaweza kuhitaji ujasiri na hekima ya kubwa sana. […]

by in MAISHA NA MALENGO, THAMANI

MAISHA YAKO YANAPATA UKAMILIFU KATIKA MAMBO YAPI? [CHUNGUZA UBORA WA MAISHA YAKO].

Habari za wakati huu Rafiki yangu. Pole kwa majukumu na harakati za siku katika kuhakikisha unaboresha maisha yako na kusogelea zaidi mafanikio. Napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha tena katika ukurusa huu tuweze kujifunza pamoja na kuongeza zaidi THAMANI ya maisha yetu. Unaweza kuwa mtu wa aina yoyote katika maisha yako, unaweza kuchagua kuwa na kila […]