Tag Archives: #goals

by in MAISHA NA MALENGO

MSAADA WAKO UPO WAPI?

Dunia imekuwa na mambo mengi ya kutisha pamoja na watu ambao wakati mwingine unaweza kuogopa kuwategemea hasa pale unapopata changamoto katika maisha. Imekuwa ni sehemu ambayo, kila mtu anajenga ukuta (Kujitenga peke yake) ili kuepuka kusalitiwa na kuumizwa katika namna yoyote ile. Asilimia kubwa ya watu wamekuwa ‘wagumu’ kusaidiana kutokana na historia ya kuwahi kuumizwa […]

by in MTAZAMO BORA

UFANYE NINI UNAPOKOSEA KUFANYA MAAMUZI?

“Uimara na Ubora wa maisha yako unategemea sana aina ya maamuzi unayoyafanya na kuruhusu kuongozwa na maamuzi hayo.” ~Anselmo John~ Sasa ufanye nini pale unapokosea kufanya maamuzi? Katika makala ya leo tutajifunza baadhi ya mambo muhimu unayopaswa kufanya pale unapofanya makosa katika Maamuzi yako. Karibu sana……. KUBALIANA NA HISIA ZAKO. Jambo la kwanza, ni kutambua […]

by in MAISHA NA MALENGO

“JINSI YA KUEPUKA TABIA YA KUKWEPA MAJUKUMU YAKO.”

“Ishara mojawapo ya mtu anaependa kughairisha mambo ni kukwepa majukumu yake muhimu(Making excuses).” ~Anselmo John~ Ni mara ngapi umekuwa ukitafuta sababu za kukwepa majukumu yako? Ni mara ngapi umeacha kutimiza wajibu wako kwa sababu mbalimbali zisizo na maana katika maisha yako? Ni mara ngapi umejilaumu kwa kushindwa kutimiza malengo yako kwa sababu ulikwepa baadhi ya […]

by in THAMANI

KWANINI FURAHA SIO SEHEMU YA MAISHA YAKO?

Wakati mwingine changamoto mbalimbali za maisha zinaweza kuyafanya maisha yetu kukosa furaha kabisa. Lakini, asilimia kubwa ya vyanzo vya kukosa furaha vinatokana na vile tunavyofikiri, tabia na mienendo yetu ya kila siku. Katika makala ya leo tutaangalia baadhi ya tabia zinazoweza kuchangia katika kuondoa au kuzuia Furaha katika maisha yako ya kila siku. Karibu Tujifunze […]

by in THAMANI

KWANINI UNARUHUSU HOFU ITAFUNE MAISHA YAKO?

Iwe ni kazini ukitimiza majukumu yako, nyumbani ukihudumia familia yako au mahala popote pale ulipo; Kuna wakati maisha yako yanaweza kukupa hofu au wasiwasi mkubwa kiasi cha kushindwa kusonga mbele. Swali ni Je, Utafanya nini pale unapokumbwa na hofu (Stress)? Karibu Ujifunze, Uelimike na Kuongeza zaidi THAMANI yako………………………………. NJIA BORA ZITAKAZOKUSAIDIA KUKABILIANA NA HOFU (STRESS) […]

by in MAHUSIANO

MAHUSIANO YAKO NI BORA KIASI GANI?

Hellow rafiki, Habari za muda na wakati huu. Karibu uendelee Kujifunza, kuelimika na kuongeza zaidi THAMANI yako. Mahusiano ya aina yoyote ni jambo muhimu sana katika maisha ya binadamu yeyote na yanahitaji juhudi na hekima ya kutosha ili yaweze kudumu kwa muda mrefu. Mahusiano bora hujengwa katika misingi imara inayowekwa na pande mbili au zaidi […]

by in MAISHA NA MALENGO

ULIMI WAKO UNA NGUVU YA KULETA UHAI AU KIFO!

Hello rafiki. Pole kwa majukumu ya siku.Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha tena katika mtandao huu ili uendelee kujifunza, kuelimika na kuongeza zaidi THAMANI yako. Siku ya leo tutajifunza kupitia story hii fupi. Karibu…………. Vyura watano walikuwa wanapita na kutembea porini kutafuta chakula. Ghafla wawili kati yao wanaanguka katika shimo refu lililokuwa limefunikwa na majani, hivyo […]

  • 1
  • 2