Tag Archives: #goal

by in THAMANI

KWANINI UNARUHUSU HOFU ITAFUNE MAISHA YAKO?

Iwe ni kazini ukitimiza majukumu yako, nyumbani ukihudumia familia yako au mahala popote pale ulipo; Kuna wakati maisha yako yanaweza kukupa hofu au wasiwasi mkubwa kiasi cha kushindwa kusonga mbele. Swali ni Je, Utafanya nini pale unapokumbwa na hofu (Stress)? Karibu Ujifunze, Uelimike na Kuongeza zaidi THAMANI yako………………………………. NJIA BORA ZITAKAZOKUSAIDIA KUKABILIANA NA HOFU (STRESS) […]

by in MAISHA NA MALENGO

ULIMI WAKO UNA NGUVU YA KULETA UHAI AU KIFO!

Hello rafiki. Pole kwa majukumu ya siku.Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha tena katika mtandao huu ili uendelee kujifunza, kuelimika na kuongeza zaidi THAMANI yako. Siku ya leo tutajifunza kupitia story hii fupi. Karibu…………. Vyura watano walikuwa wanapita na kutembea porini kutafuta chakula. Ghafla wawili kati yao wanaanguka katika shimo refu lililokuwa limefunikwa na majani, hivyo […]

by in MAISHA NA MALENGO

ANGALIA USIJE KUJUTA MIAKA 10 IJAYO (MAAMUZI YANAYOWEZA KUKUPA MAJUTO BAADAE).

Maisha yetu kama binadamu ni mafupi sana, hivyo tunapaswa kuwa makini sana katika kufanya maamuzi mbalimbali yatakayoongoza maisha yetu ya sasa na baadae. Ni wazi kwamba, hakuna anayeweza kufanya maamuzi sahihi wakati wote na kuepuka kufanya makosa lakini ni muhimu sana kuhakikisha unajilinda kwa kuepuka kufanya maamuzi yatakayokufanya ujutie na kupata maumivu moyoni. Vijana tuliopo […]