BLOG

by in THAMANI

NI MALENGO GANI YANAKUFAA KUTOKANA NA MAHITAJI YAKO? (Sehemu ya 1)

Kuna uwezekano mkubwa umewahi kusikia kuhusu malengo, Umewahi kusikia juu ya nguvu iliyopo katika malengo, umewahi kusikia pia aina mbalimbali za malengo. Lakini bado unapata ugumu na unashindwa kufahamu ni wapi uanzie ili kujiwekea malengo na kuyatimiza……. Kabla haujaanza kuweka malengo, unapaswa kwanza kufahamu aina za malengo kutokana na mahitaji yako na muda uliopo. Wanasaikolojia […]

by in THAMANI

NI WEWE ULIYEKATA TAMAA?

Habari ya wakati huu rafiki. Karibu tena katika mtandao huu, uendelee kuchota maarifa na kujifunza mambo muhimu yatakayokupa mwanga na kusaidia katika kuongeza THAMANI zaidi katika maisha yako. Katika makala ya leo, nataka kuzungumza na wewe kijana mwenzangu uliyekata tamaa. Kijana unayehisi hauna THAMANI tena ya kusonga mbele, unahisi hauna nafasi tena ya kubadili maisha […]

by in MAISHA NA MALENGO

MSAADA WAKO UPO WAPI?

Dunia imekuwa na mambo mengi ya kutisha pamoja na watu ambao wakati mwingine unaweza kuogopa kuwategemea hasa pale unapopata changamoto katika maisha. Imekuwa ni sehemu ambayo, kila mtu anajenga ukuta (Kujitenga peke yake) ili kuepuka kusalitiwa na kuumizwa katika namna yoyote ile. Asilimia kubwa ya watu wamekuwa ‘wagumu’ kusaidiana kutokana na historia ya kuwahi kuumizwa […]

by in MTAZAMO BORA

UFANYE NINI UNAPOKOSEA KUFANYA MAAMUZI?

“Uimara na Ubora wa maisha yako unategemea sana aina ya maamuzi unayoyafanya na kuruhusu kuongozwa na maamuzi hayo.” ~Anselmo John~ Sasa ufanye nini pale unapokosea kufanya maamuzi? Katika makala ya leo tutajifunza baadhi ya mambo muhimu unayopaswa kufanya pale unapofanya makosa katika Maamuzi yako. Karibu sana……. KUBALIANA NA HISIA ZAKO. Jambo la kwanza, ni kutambua […]

by in MAISHA NA MALENGO

“JINSI YA KUEPUKA TABIA YA KUKWEPA MAJUKUMU YAKO.”

“Ishara mojawapo ya mtu anaependa kughairisha mambo ni kukwepa majukumu yake muhimu(Making excuses).” ~Anselmo John~ Ni mara ngapi umekuwa ukitafuta sababu za kukwepa majukumu yako? Ni mara ngapi umeacha kutimiza wajibu wako kwa sababu mbalimbali zisizo na maana katika maisha yako? Ni mara ngapi umejilaumu kwa kushindwa kutimiza malengo yako kwa sababu ulikwepa baadhi ya […]

by in MTAZAMO BORA

“WASIWASI NI SUMU KALI”

“Moja kati ya safari ngumu anayoweza kuipitia binadamu ni kukabiliana na Hofu yake mwenyewe na kuizuia isiendelee kutafuna maisha yake .” ~Anselmo John~ Kila mmoja ana aina yake ya wasiwasi, kitu ambacho ni cha kawaida katika maisha yetu; hivyo kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida lakini kadri unavyoiruhusu kutawala maisha yako, inaweza kugeuka na […]

by in MAHUSIANO

“USIACHE KUWA MWAMINIFU”

Ninaweza kusema, Uaminifu ni moja ya kiungo muhimu sana katika mahusiano ya mwanadamu, msingi mkubwa unaojenga kila taasisi bora na pengine ndio msingi wa kwanza wa mafanikio katika sekta mbalimbali za maisha yetu. Bahati mbaya ni kwamba, asilimia kubwa ya watu wanashindwa kujenga uaminifu kutokana na tamaa ya mambo yatakayowapa faida ya muda mfupi au […]

by in MTAZAMO BORA

IFAHAMU NGUVU YA KILA “NENO” KATIKA MAISHA YAKO.

Habari za wakati huu Rafiki na msomaji wa makala mbalimbali kupitia mtandao huu. Karibu tena tuendelee kujifunza pamoja. Katika makala ya leo tutaangalia nguvu iliyopo katika kila neno unalozungumza katika maisha yako. KARIBU SANA……… Asilimia kubwa ya vijana wanadharau nguvu iliyopo katika maneno wanayozungumza pasipo kufahamu kwamba, neno moja linaweza kujenga au kuharibu siku yako/mtu […]

by in MAISHA NA MALENGO

SIMAMA MWENYEWE!

Maisha ni sawa na uwanja wa Mapamabano, ili uweze kushinda mapambano haya, unahitaji kujiamini na kusimama mwenyewe kwa asilimia 90. Sasa, bahati mbaya zaidi ni kwa wale wanaokuwa tegemezi zaidi katika maisha yao, wakitegemea mtu/watu wengine wafanye maamuzi flani kwa ajili ya maisha yao, ni vigumu sana kuendana na kasi inayohitajika katika mapambano haya. Kiwango […]

by in THAMANI

KWANINI FURAHA SIO SEHEMU YA MAISHA YAKO?

Wakati mwingine changamoto mbalimbali za maisha zinaweza kuyafanya maisha yetu kukosa furaha kabisa. Lakini, asilimia kubwa ya vyanzo vya kukosa furaha vinatokana na vile tunavyofikiri, tabia na mienendo yetu ya kila siku. Katika makala ya leo tutaangalia baadhi ya tabia zinazoweza kuchangia katika kuondoa au kuzuia Furaha katika maisha yako ya kila siku. Karibu Tujifunze […]

by in THAMANI

KWANINI UNARUHUSU HOFU ITAFUNE MAISHA YAKO?

Iwe ni kazini ukitimiza majukumu yako, nyumbani ukihudumia familia yako au mahala popote pale ulipo; Kuna wakati maisha yako yanaweza kukupa hofu au wasiwasi mkubwa kiasi cha kushindwa kusonga mbele. Swali ni Je, Utafanya nini pale unapokumbwa na hofu (Stress)? Karibu Ujifunze, Uelimike na Kuongeza zaidi THAMANI yako………………………………. NJIA BORA ZITAKAZOKUSAIDIA KUKABILIANA NA HOFU (STRESS) […]

by in MAHUSIANO

MAHUSIANO YAKO NI BORA KIASI GANI?

Hellow rafiki, Habari za muda na wakati huu. Karibu uendelee Kujifunza, kuelimika na kuongeza zaidi THAMANI yako. Mahusiano ya aina yoyote ni jambo muhimu sana katika maisha ya binadamu yeyote na yanahitaji juhudi na hekima ya kutosha ili yaweze kudumu kwa muda mrefu. Mahusiano bora hujengwa katika misingi imara inayowekwa na pande mbili au zaidi […]

by in MAISHA NA MALENGO

ULIMI WAKO UNA NGUVU YA KULETA UHAI AU KIFO!

Hello rafiki. Pole kwa majukumu ya siku.Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha tena katika mtandao huu ili uendelee kujifunza, kuelimika na kuongeza zaidi THAMANI yako. Siku ya leo tutajifunza kupitia story hii fupi. Karibu…………. Vyura watano walikuwa wanapita na kutembea porini kutafuta chakula. Ghafla wawili kati yao wanaanguka katika shimo refu lililokuwa limefunikwa na majani, hivyo […]

by in MAISHA NA MALENGO

MAJUTO NI MJUKUU. BADILIKA SASA!

Majuto ni sehemu mojawapo ambayo binadamu anapitia katika maisha yake. Majuto hayo yanaweza kusaidia kusonga mbele au kurudi nyuma, na hii ni kutokana na nafasi au muda utakaoruhusu majuto hayo kukaa ndani ya moyo na akili yako. Katika makala ya leo tutaangalia mazingira matatu yanayoweza kuleta majuto katika maisha yako ya kila siku. Karibu Ujifunze, […]

by in MAISHA NA MALENGO

SENTENSI MOJA ITAKAYOBADILI MAISHA YAKO.

Ni sentensi moja tu inayoweza kukupa hamasa ya kusonga mbele, hamasa ya kupambana zaidi huku ukitambua kwamba “Hauna Muda” wa kutosha hapa duniani. Sentensi hiyo ni hii………………….. “Kuna siku utaondoka hapa duniani” Umezaliwa mara moja tu, hakuna wakati mwingine tena utakapozaliwa na kurudi upya duniani; na hii ndio fursa pekee ya kutengeneza Furaha katika maisha […]

by in MAISHA NA MALENGO

ANGALIA USIJE KUJUTA MIAKA 10 IJAYO (MAAMUZI YANAYOWEZA KUKUPA MAJUTO BAADAE).

Maisha yetu kama binadamu ni mafupi sana, hivyo tunapaswa kuwa makini sana katika kufanya maamuzi mbalimbali yatakayoongoza maisha yetu ya sasa na baadae. Ni wazi kwamba, hakuna anayeweza kufanya maamuzi sahihi wakati wote na kuepuka kufanya makosa lakini ni muhimu sana kuhakikisha unajilinda kwa kuepuka kufanya maamuzi yatakayokufanya ujutie na kupata maumivu moyoni. Vijana tuliopo […]

by in MAISHA NA MALENGO, THAMANI

KWANINI UNAPASWA KUWA NA DIARY KWA AJILI YA MAISHA YAKO?

Wengine wanaita Diary, wengine Journal n.k, kila mmoja anaweza kuita jina lake kutokana na aina ya matumizi binafsi. Lakini katika yote, “Diary/Journal” ni mfano wa daftari unaloweza kuandika mambo yako muhimu ambayo mtu mwingine hapaswi kuyaona. Kamwe usiidharau nguvu ya Diary/Journal kutokana na faida nyingi zinazoweza kukusaidia kupiga hatua zaidi katika maisha yako. Changamoto kubwa […]

by in MAISHA NA MALENGO, THAMANI

FAIDA ZA KUKIRI & KUKUBALI MAKOSA YAKO.

“Siku zote makosa yanaweza kusamehewa endapo tu mtu atakiri/kukubali kwamba amekosea.” Kila mtu hufanya makosa. Asilimia kubwa ya vijana wengi huogopa/huona aibu kukubali makosa waliyoyafanya kwa kudhani kwamba, huenda wataonekana dhaifu au kukosa msimamo. Wakati mwingine ni vigumu sana kukiri/kukubali makosa yako pale unapokosea na kitendo hiki kinaweza kuhitaji ujasiri na hekima ya kubwa sana. […]

by in MAISHA NA MALENGO, THAMANI

MAISHA YAKO YANAPATA UKAMILIFU KATIKA MAMBO YAPI? [CHUNGUZA UBORA WA MAISHA YAKO].

Habari za wakati huu Rafiki yangu. Pole kwa majukumu na harakati za siku katika kuhakikisha unaboresha maisha yako na kusogelea zaidi mafanikio. Napenda kuchukua fursa hii kukukaribisha tena katika ukurusa huu tuweze kujifunza pamoja na kuongeza zaidi THAMANI ya maisha yetu. Unaweza kuwa mtu wa aina yoyote katika maisha yako, unaweza kuchagua kuwa na kila […]

by in MAISHA NA MALENGO, THAMANI

NI WAKATI WA “KUCHUNGUZA MWENENDO/MAENDELEO” YAKO [SWOT ANALYSIS].

Unaweza kujiuliza SWOT analysis inamaanisha nini?. Neno SWOT linasimama badala ya maneno haya ya lugha ya Kiingereza; Strength [S], Weaknesses [W], Opportunities [O] na Threates [T]. Yaani kwa lugha yetu ya Kiswahili tunaweza kusema; Nguvu/uwezo wako [Strengh], Madhaifu yako [Weaknesses], Fursa ulizonazo [Opportunities] na Hatari inayokuzunguka [Threat]. Kwa maana hiyo, tunaweza kusema kwamba, SWOT analysis […]

by in MAISHA NA MALENGO, THAMANI

NI KWANINI UNAHITAJI KUWEKA MALENGO? (NA MBINU ZITAKAZO KUSAIDIA KUTIMIZA MALENGO YAKO).

Ni njia halisi ya Kuishi (Uhalisia kamili wa maisha yetu). Ukifikiria ni kwanini unataka kuendelea kuishi, basi utagundua kwamba, maisha yako/yetu yanategemea sana kuwepo kwa malengo mbalimbali. Kuamka asubuhi kila siku na kuwahi kazini, shuleni au eneo lako la majukumu, unahitaji kuweka lengo la kuamka katika muda sahihi ili kuepuka kuchelewa. Hii pekee inaonyesha kwamba […]

by in THAMANI

“KUMBUKA HAYA KILA MARA UNAPOPITA KATIKA CHANGAMOTO NGUMU.”

Maisha ni msafara unaojumuisha hisia na matukio mbalimbali. Matukio na hisia hizo vinaweza kukuongezea Furaha au changamoto mbalimbali katika maisha yako. Wakati mwingine ni vigumu sana kukabiliana na changamoto hizo kutokana na ukubwa wake. Kwa asilimia kubwa, kila mmoja hupitia hisia mbalimbali kama vile Hofu, wasiwasi, huzuni na wakati mwingine matatizo ya kiakili pia kutokana […]

by in MTAZAMO BORA, THAMANI

MAMBO 5 YA KUJIFUNZA KUTOKA KWA MFALME WA MWITU [SIMBA].

Umewahi kufuatilia maisha ya wanyama mbalimbali hasa Simba? Kama ni NDIO, basi nadhani utakuwa umeshuhudia ni kwa namna gani mnyama huyu anavyotawala na kumiliki himaya yake ipasavyo. Simba ni moja kati ya wanyama wenye nguvu sana duniani, ni wanyama wachache sana wanaothubutu kumpa changamoto mbalimbali katika maisha yake mwituni. Wanatajwa kama “WAFALME” wa nyika kutokana […]

by in THAMANI

ISHARA 10 ZINAZOONYESHA UMEWAPA WATU WENGINE NGUVU JUU YA MAISHA YAKO.

Hivi ulishawahi kuhisi kwamba, watu wengine wameshikilia mhimili wa maisha yako kuliko wewe mwenyewe? Je, umewahi kuwa katika hali flani iliyokupelekea kupuuzia matendo yote mabaya wanayokutendea watu wengine? Inawezekana kabisa umewapa watu wengine nguvu juu ya maisha yako. Unapompa mtu mwingine nguvu ya kuyaongoza maisha yako sio tu unapoteza uwezo wako wa kufanya maamuzi bali […]

by in THAMANI

KWANINI UNAPASWA KUSEMA “HAPANA”?

Asilimia kubwa ya watu, huwa tunashindwa kusema HAPANA, kwa sababu tunadhani kwamba kusema HAPANA ni kosa au sio vyema, kitu ambacho si sahihi kabisa. Hakuna ubaya wowote katika kusema neno HAPANA. Kusema HAPANA ni sawa tu na kusema NDIO, hivyo hakuna ubaya wowote tofauti na namna ambavyo watu wengi hudhani. Sio lazima sana kukubali kila […]

by in THAMANI

UNAWEZAJE KUISHINDA HOFU YA KUKATALIWA?

Hofu ya kukataliwa inaweza kutokea kwa mtu yeyote katika aina na mazingira tofauti tofauti. Unaweza kupata hofu ya aina hii pale unapoitwa kwa ajili ya interview ya kazi, kuogopa kutoa mawazo yako katika mkutano kwa kuhofia kukataliwa kwa mawazo yako, unapotaka kuanzisha mahusiano mapya n.k. Lakini hofu kubwa ya kukataliwa hutokea pale utakapofanya uamuzi wa […]

by in MAHUSIANO, THAMANI

AINA 5 ZA WATU UNAOWAHITAJI KATIKA MAISHA YAKO.

Katika maisha, kila siku tunatengeneza na kuvunja urafiki na watu wanaotuzunguka. Wengine wanatuachia mafunzo mazuri, wengine tunawaachia mafunzo mazuri pia, pia wapo wanaojivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali wanaotutafuna na kuturudisha nyuma kila siku. Pamoja na hayo yote, bado tunahitaji watu wachache watakaoifanya safari ya kutafuta mafanikio na kuleta mabadiliko katika maisha […]