All posts by: Coach Ansey

by in THAMANI

KWANINI UNAPASWA KUSEMA “HAPANA”?

Asilimia kubwa ya watu, huwa tunashindwa kusema HAPANA, kwa sababu tunadhani kwamba kusema HAPANA ni kosa au sio vyema, kitu ambacho si sahihi kabisa. Hakuna ubaya wowote katika kusema neno HAPANA. Kusema HAPANA ni sawa tu na kusema NDIO, hivyo hakuna ubaya wowote tofauti na namna ambavyo watu wengi hudhani. Sio lazima sana kukubali kila […]

by in THAMANI

UNAWEZAJE KUISHINDA HOFU YA KUKATALIWA?

Hofu ya kukataliwa inaweza kutokea kwa mtu yeyote katika aina na mazingira tofauti tofauti. Unaweza kupata hofu ya aina hii pale unapoitwa kwa ajili ya interview ya kazi, kuogopa kutoa mawazo yako katika mkutano kwa kuhofia kukataliwa kwa mawazo yako, unapotaka kuanzisha mahusiano mapya n.k. Lakini hofu kubwa ya kukataliwa hutokea pale utakapofanya uamuzi wa […]

by in MAHUSIANO, THAMANI

AINA 5 ZA WATU UNAOWAHITAJI KATIKA MAISHA YAKO.

Katika maisha, kila siku tunatengeneza na kuvunja urafiki na watu wanaotuzunguka. Wengine wanatuachia mafunzo mazuri, wengine tunawaachia mafunzo mazuri pia, pia wapo wanaojivika ngozi ya kondoo kumbe ni mbwa mwitu wakali wanaotutafuna na kuturudisha nyuma kila siku. Pamoja na hayo yote, bado tunahitaji watu wachache watakaoifanya safari ya kutafuta mafanikio na kuleta mabadiliko katika maisha […]

by in MTAZAMO BORA, THAMANI

KWANINI UNAHITAJI KUWASAMEHE WALE WALIOKUKOSEA?

Mara nyingi binadamu tumekuwa wagumu sana wa kusamehe hasa pale tunapokosewa na watu tunaowafahamu/watu wetu wa karibu. Sasa naomba nikuambie leo; unaposhindwa kusamehe wale wanaokukosea, unakuwa umejiweka katika KIFUNGO wewe mwenyewe. Kifungo hicho kitakufanya uwe mtu wa chuki, wasiwasi, hasira hasa pale unapokuwa karibu na wale waliokukosea. Na zaidi kabisa utaendelea kukumbuka mambo waliyokutendea na […]

by in MTAZAMO BORA, THAMANI

VIKWAZO 7 VYA FIKRA KATIKA SAFARI YAKO YA MAFANIKIO.

Uwezo wetu wa kufanikiwa ubebwa na namna tunavyofikiri na mitazamo tunayoweka katika akili zetu juu ya mafanikio tunayoyahitaji. Kwa maana hiyo, chochote unachokiweka akilini mwako ndicho kitakachotengeneza kufeli au kufanikiwa kwako. . Hebu tuangalie baadhi ya vikwazo katika FIKRA , vinavyoweza kupelekea kufeli na kushindwa kutimiza malengo katika safari yako ya mafanikio. . 1. Kujitilia […]