All posts by: Coach Ansey

by in MAISHA NA MALENGO

SIMAMA MWENYEWE!

Maisha ni sawa na uwanja wa Mapamabano, ili uweze kushinda mapambano haya, unahitaji kujiamini na kusimama mwenyewe kwa asilimia 90. Sasa, bahati mbaya zaidi ni kwa wale wanaokuwa tegemezi zaidi katika maisha yao, wakitegemea mtu/watu wengine wafanye maamuzi flani kwa ajili ya maisha yao, ni vigumu sana kuendana na kasi inayohitajika katika mapambano haya. Kiwango […]

by in THAMANI

KWANINI FURAHA SIO SEHEMU YA MAISHA YAKO?

Wakati mwingine changamoto mbalimbali za maisha zinaweza kuyafanya maisha yetu kukosa furaha kabisa. Lakini, asilimia kubwa ya vyanzo vya kukosa furaha vinatokana na vile tunavyofikiri, tabia na mienendo yetu ya kila siku. Katika makala ya leo tutaangalia baadhi ya tabia zinazoweza kuchangia katika kuondoa au kuzuia Furaha katika maisha yako ya kila siku. Karibu Tujifunze […]

by in THAMANI

KWANINI UNARUHUSU HOFU ITAFUNE MAISHA YAKO?

Iwe ni kazini ukitimiza majukumu yako, nyumbani ukihudumia familia yako au mahala popote pale ulipo; Kuna wakati maisha yako yanaweza kukupa hofu au wasiwasi mkubwa kiasi cha kushindwa kusonga mbele. Swali ni Je, Utafanya nini pale unapokumbwa na hofu (Stress)? Karibu Ujifunze, Uelimike na Kuongeza zaidi THAMANI yako………………………………. NJIA BORA ZITAKAZOKUSAIDIA KUKABILIANA NA HOFU (STRESS) […]

by in MAHUSIANO

MAHUSIANO YAKO NI BORA KIASI GANI?

Hellow rafiki, Habari za muda na wakati huu. Karibu uendelee Kujifunza, kuelimika na kuongeza zaidi THAMANI yako. Mahusiano ya aina yoyote ni jambo muhimu sana katika maisha ya binadamu yeyote na yanahitaji juhudi na hekima ya kutosha ili yaweze kudumu kwa muda mrefu. Mahusiano bora hujengwa katika misingi imara inayowekwa na pande mbili au zaidi […]

by in MAISHA NA MALENGO

ULIMI WAKO UNA NGUVU YA KULETA UHAI AU KIFO!

Hello rafiki. Pole kwa majukumu ya siku.Napenda kuchukua nafasi hii kukukaribisha tena katika mtandao huu ili uendelee kujifunza, kuelimika na kuongeza zaidi THAMANI yako. Siku ya leo tutajifunza kupitia story hii fupi. Karibu…………. Vyura watano walikuwa wanapita na kutembea porini kutafuta chakula. Ghafla wawili kati yao wanaanguka katika shimo refu lililokuwa limefunikwa na majani, hivyo […]

by in MAISHA NA MALENGO

MAJUTO NI MJUKUU. BADILIKA SASA!

Majuto ni sehemu mojawapo ambayo binadamu anapitia katika maisha yake. Majuto hayo yanaweza kusaidia kusonga mbele au kurudi nyuma, na hii ni kutokana na nafasi au muda utakaoruhusu majuto hayo kukaa ndani ya moyo na akili yako. Katika makala ya leo tutaangalia mazingira matatu yanayoweza kuleta majuto katika maisha yako ya kila siku. Karibu Ujifunze, […]

by in MAISHA NA MALENGO

SENTENSI MOJA ITAKAYOBADILI MAISHA YAKO.

Ni sentensi moja tu inayoweza kukupa hamasa ya kusonga mbele, hamasa ya kupambana zaidi huku ukitambua kwamba “Hauna Muda” wa kutosha hapa duniani. Sentensi hiyo ni hii………………….. “Kuna siku utaondoka hapa duniani” Umezaliwa mara moja tu, hakuna wakati mwingine tena utakapozaliwa na kurudi upya duniani; na hii ndio fursa pekee ya kutengeneza Furaha katika maisha […]