UNATAFUTA MSHAURI KATIKA KUWEKA MALENGOKUJENGA MAHUSIANO BORA KUJENGA UWEZO WA KUJIAMINI KUJENGA FIKRA NA MTAZAMO CHANYA KUHIMILI HISIA MBALIMBALI ZA MWILI ILI UWEZE KUONGEZA THAMANI ZAIDI KATIKA MAISHA YAKO?
01
USIRUHU KUWA “MTUMWA” WA HISIA NA MIHEMKO YA MWILI WAKO
Para a depressão ainda não há cura, mas há tratamento

Utapata elimu na ushauri juu ya kuhimili hisia na mihemko mbalimbali ya mwili kama vile Hasira, Uoga/wasiwasi, hofu, kukabiliana na Maumivu mbalimbali pamoja na namna bora ya kujenga na kudumisha Furaha katika maisha yako.

02
MABADILIKO YANAANZA KATIKA FIKRA NA MTAZAMO WAKO
430-4308628_cascadia-international-womens-film-festival-knowledge-skill-icon

Utajifunza namna ya kukabiliana na mambo yaliyopita, Majuto na maumivu ukiyowahi kupitia, kukujengea uwezo wa kutambua na kujenga fikra na mitazamo itakayokusaidia kuishi katika Furaha, Amani pamoja na kukuongezea zaidi THAMANI katika maisha yako.

03
KUWEKA MALENGO NA MATUMIZI SAHIHI YA MUDA WAKO
images (2)

Malengo ndio ramani yako katika Mafanikio. Hapa utajifunza namna sahihi ya kuweka malengo, mbinu mbalimbali za kutimiza malengo yako na matumizi sahihi ya rasilimali Muda ili uweze kufikia Malengo yako kwa wakati.

04
MAHUSIANO BORA NI CHACHU YA MAFANIKIO
HGB

Pata Elimu ya kutosha juu ya namna ya kutengeneza mahusiano bora, kuelewa nafasi yako katika mahusiano, namna bora ya kufanya mawasiliano pamoja na kujifunza namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali katika mahusiano yako.

JIFUNZE KWA MAKALA